Episodi

  • Taarifa ya Habari:Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda afariki
    May 18 2026
    Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC iliyoko mjini The Hague, Uholanzi imesema mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda Felicien Kabuga amefariki dunia.
    Mostra di più Mostra meno
    6 min
  • Taarifa ya Habari:Pendekezo la bajeti la upinzani lashtumiwa kuwa na madeni, upungufu wa kifedha, na utengano
    May 15 2026
    Waziri wa Fedha Jim Chalmers ame ongeza mashambulizi ya chama cha Labor dhidi ya hotuba ya majibu ya bajeti ya Angus Taylor, akimshtumu kiongozi huyo wa Upinzani kwa kutoa pendekezo lenye madeni, upungufu wa kifedha, na utengano.
    Mostra di più Mostra meno
    13 min
  • Australia Yafafanuliwa: Vidokezo vya kupunguza gharama ya petroli |Mafuta Yalengwa
    May 15 2026
    Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.Bei za petroli na dizeli nchini Australia zinaendelea kukabiliwa na shinikizo wakati huu ambapo vita kati ya Marekani na Iran vina ingia mwezi wa tatu.
    Mostra di più Mostra meno
    9 min
  • Makala leo: Maamuzi magumu kuhusu kupunguzwa kwa NDIS yatawala baada ya kutolewa kwa bajeti ya shirikisho
    May 15 2026
    Upunguzaji wa fedha katika Mpango wa Kitaifa wa Bima ya Ulemavu ndio chanzo kikubwa zaidi cha uokoaji wa fedha katika bajeti ya serikali shirikisho, jambo linalowaacha watu wengi katika jamii ya wenye ulemavu wakiwa na hasira na wasiwasi juu ya kile kinachokuja.
    Mostra di più Mostra meno
    11 min
  • Taarifa ya Habari: Ghana kuwaondoa raia wake 300 wanaoishi Afrika Kusini
    May 14 2026
    Serikali ya Ghana imetangaza kuwa itawarudisha raia wake 300-wanaoishi nchini Afrika Kusini, kufuatia ongezeko la visa vya wageni kushambuliwa.
    Mostra di più Mostra meno
    6 min
  • Yaliyojiri Afrika: Dangote kufungua kiwanda chakusafisha mafuta Kenya
    May 14 2026
    Mmoja wa matajiri wakubwa barani Afrika Aliko Dangote, ameonesha nia yakuanzisha kiwanda chaku safisha mafuta nchini Kenya.
    Mostra di più Mostra meno
    8 min
  • Makala leo:Takwimu mpya zafichua malipo duni ya kimfumo kwa wafanyakazi wahamiaji
    May 12 2026
    Utafiti mkubwa zaidi nchini Australia kuhusu mazingira ya kazi ya wahamiaji umefichua maelezo ya kutisha ya malipo duni yaliyoenea na ya kimfumo.
    Mostra di più Mostra meno
    17 min
  • Taarifa ya Habari:Mweka Hazina asema bajeti ijayo ina malengo, akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida
    May 12 2026
    Mweka Hazina wa taifa, Jim Chalmers, ameelezea bajeti inayokuja kama ile yenye malengo makubwa zaidi ya serikali ya Labor kufikia sasa, ikiwa na kile anachokiita akiba na mageuzi makubwa kuliko kawaida.
    Mostra di più Mostra meno
    13 min