SBS Swahili - SBS Swahili copertina

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

Di: SBS
Ascolta gratuitamente

A proposito di questo titolo

Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza KiswahiliCopyright 2023, Special Broadcasting Services Politica e governo Scienze sociali
  • Taarifa ya Habari: Serikali yakana shutuma kwamba inawalenga wawekezaji wa "mama na baba" katika bajeti mpya
    May 5 2026
    Jim Chalmers amepuuza mapendekezo kwamba mabadiliko yanayowezekana kwa matumizi hasi ya vifaa au kodi ya faida ya mtaji yatakuwa ni kuvunja ahadi na wapiga kura.
    Mostra di più Mostra meno
    15 min
  • Yaliyojiri Afrika: Viongozi wa Tanzania na Rwanda kuimarisha ushirikiano wa kikanda
    May 5 2026
    Viongozi wa Tanzania na Rwanda wamekubaliana kuchukua jukumu la kuhakikisha ushirikiano ndani ya Jumuiya ya afrika mashariki unaimarika kwa ajili ya manufaa ya kanda hiyo na watu wake.
    Mostra di più Mostra meno
    7 min
  • Makala leo: Jinsi uchaguzi mdogo wa vijijini unavyoweza ashiria matatizo kwa upinzani wa Australia
    May 5 2026
    Uchaguzi mdogo ujao wa Mei 9 katika eneo bunge la Farrer jimboni New South Wales, unaweza kuwa na athari kubwa kwa siasa za kitaifa.
    Mostra di più Mostra meno
    13 min
Ancora nessuna recensione