Episodi

  • Tofauti kati ya Kuumba na kufanya
    Sep 21 2025
    Kuumba na kufanya ni kanuni ya Ki-Mungu, ikiwa unahitaji kufanikiwa huna budi kujifunza na kuitumia.
    Mostra di più Mostra meno
    21 min
  • Majibu ya asili ya jina Adamu
    Dec 9 2024
    Majibu ya asili ya jina Adamu kwa kufuata msingi wa swali kutoka kitabu cha Mwanzo 5 : 1-2
    Mostra di più Mostra meno
    10 min
  • Echu Maarifa : Mbinu za kuweka akiba
    Dec 4 2024
    Mbinu 8 bora za kukusaidia kuwa na tabia ya kuweka akiba.
    Mostra di più Mostra meno
    9 min
  • MAJIBU YA 1 : Adamu alikuwa wa jinsia gani?
    Dec 3 2024
    Kulingana na Mwanzo 5:1-2

    "Mungu akawaita jina lao Adamu" ikiwa jina lao wote wawili lilikuwa ni Adamu kwa nini ilibadilika na kuwa utambulisho wa kiume, lakini pia kama ilikuwa ni kwa mmoja kwanini biblia imeandikwa kwa wingi.

    Majibu ya Ma'mtu ( Mrs Echu).

    Episode inayofuata itakuwa ni majibu ya Echu mwenyewe.
    Mostra di più Mostra meno
    16 min
  • Episode 2 : Adamu alikuwa wa jinsia gani?
    Nov 21 2024
    MSINGI WA SWALI :
    “Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya; mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.”
    ‭‭Mwa‬ ‭5‬:‭1‬-‭2‬ ‭SUV‬‬

    SWALI:

    1. Je Adamu alikuwa ni wa jinsia gani?
    2. Ikiwa alikuwa ni wa kiume, Biblia imeandika "akawaita " ni wingi je mwingine alieitwa ni nani?
    3. Ikiwa wote majina yao ilikuwa Adamu, Eva( Hawa) ni nani?
    4. Ikiwa Mungu aliumba mtu mke na mtu mme yule mtu mke ni nani?

    Katika kipindi hili ni mjadala wa utangulizi wa mjadala kamili utakaokujia kwenye kipindi kijacho.
    Mostra di più Mostra meno
    13 min
  • Mungu alikuwa wapi wakati anaumba mbingu na nchi?
    Nov 18 2024
    Swali la mjadala lililotoka kwenye kitabu cha biblia Mwanzo 1:1 ( Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.)
    Mostra di più Mostra meno
    15 min