Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Saba copertina

Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Saba

Unamjua Roho Mtakatifu sehemu ya Saba

Ascolta gratuitamente

Vedi i dettagli del titolo

3 mesi a soli 0,99 €/mese

Dopo 3 mesi, 9,99 €/mese. Si applicano termini e condizioni.

A proposito di questo titolo

Moja kati ya mafundisho adimu sana katika kanisa la sasa ni fundisho la Roho Mtakatifu. Asilimia kubwa ya makanisa yetu hayafundishi fundisho hili, na hata yakifundisha yanafundisha kama nadharia bila kuweka msisitizo wa kutosha katika uhalisia wa utendaji wa Roho Mtakatifu. Nadhani mtiririko huu unaweza kuwa msaada sana kwa wewe unayefuatilia. Karibu na ubarikiwe.

Ancora nessuna recensione