SURA YA 8-2. Je, Mapigo ya Matarumbeta Saba ni Halisi? copertina

SURA YA 8-2. Je, Mapigo ya Matarumbeta Saba ni Halisi?

SURA YA 8-2. Je, Mapigo ya Matarumbeta Saba ni Halisi?

Ascolta gratuitamente

Vedi i dettagli del titolo

A proposito di questo titolo

Katika Ufunuo 5 kunaonekana andiko liliwekwa mihuri saba, ambalo Yesu alilichukua. Hii ilimaanisha kwamba Yesu alipewa mamlaka yote na nguvu za Mungu, na kwamba atauongoza ulimwengu kwa mujibu wa mpango wa Mungu kuanzia hapo na kuendelea. Ufunuo 8 inaanza kwa kifungu hiki, “Hata alipoifungua muhuri ya saba, kukawa kimya mbinguni kama muda wa nusu saa. Nami nikawaona wale malaika saba wasimamao mbele za Mungu, nao wakapewa baragumu saba.” Hivyo, Yesu anaifungua muhuri ya saba, kisha anatuonyesha vitu vitakavyokuja.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Ancora nessuna recensione