Hemani Podcast copertina

Hemani Podcast

Hemani Podcast

Di: Josias J. Joseph
Ascolta gratuitamente

Sauti ya IMANI na tafakari ya NENO, Safari ya kumjua MUNGU, ukristo wa kweli kwa kizazi kipya. Karibu HemaniJosias J. Joseph Catechesi ed evangelismo Cristianesimo Spiritualità
  • Joel Lwaga: Usikate Tamaa, Mungu Anakujua | Hemani Podcast (Bonus Ep. 001)
    Jul 15 2026

    Karibu Hemani Podcast, sehemu ya mazungumzo ya kweli kuhusu Mungu, maisha, imani, mahusiano, changamoto za vijana, na safari ya kumjua Yesu Kristo kwa undani zaidi. Jiunge nasi kila wiki kwa vipindi vipya vyenye mazungumzo ya kujenga, kuleta tumaini, na kukuza imani.


    TUFOLLOW:

    https://www.instagram.com/hemanipodcast

    https://www.tiktok.com/@hemanipodcast

    https://www.facebook.com/hemanipodcast


    Kwa Udhamini / ushirikiano:

    Call/WhatsApp: +255675874768

    Email: linkupcj@gmail.com

    Mostra di più Mostra meno
    6 min
  • Karibu, Hemani
    May 3 2026

    Hemani Podcast – Hema lako la kukutana na uwepo wa Mungu, mafundisho ya Neno, faraja, na maongezi ya kweli yanayojenga imani yako.


    “Nitakaa katika hema yako milele, Na kupata kimbilio chini ya mbawa zako.” - Zaburi 61:4

    Mostra di più Mostra meno
    1 min
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
Ancora nessuna recensione