• MSIMU MPYA WA KUJARIBIWA KWAKO
    Aug 27 2023

    Katika majira ya kupokea msimu mpya wa kujaribiwa, unapaswa kuwa makini sana

    Mostra di più Mostra meno
    57 min
  • USIUZE MAONO YAKO
    Aug 21 2023

    Ukubwa wa changamoto zako unaakisi ukubwa wa maono yako

    Mostra di più Mostra meno
    36 min
  • USIVUNJIKE MOYO
    Jul 27 2023

    Katika maisha tunaweza kukutana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuvunjwa moyo hata na watu wa karibu yako. Katika yote hayo unatakiwa usivunjike moyo maana Mungu bado yuko upande wako kukupigania na kukushindia.

    Mostra di più Mostra meno
    54 min
  • CHUKI
    Jun 9 2023

    Chuki ni moja ya sababu za ubaya na dhambi za kila aina. Kaini alikuwa mwanadamu wa kwanza kuua, na sababu yake ilikuwa ni chuki dhidi ya ndugu yake. Neno la Mungu linasema "kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji ... (1 Yohana 3:15) na kwamba huwezi kumpenda Mungu wakati unamchukia ndugu yako (1 Yohana 4:20)

    Mostra di più Mostra meno
    1 ora e 50 min
  • Usishindane - Sehemu ya Pili
    May 27 2023

    Usishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14).

    Mostra di più Mostra meno
    1 ora e 8 min
  • Kanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Tano
    May 26 2023

    Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa ni pamoja na kupta mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo yote ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18)

    Mostra di più Mostra meno
    1 ora e 19 min
  • Usishindane - Sehemu ya Kwanza
    May 11 2023

    Usishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2 Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14).

    Mostra di più Mostra meno
    1 ora e 18 min