Amedeus Live Podcast copertina

Amedeus Live Podcast

Amedeus Live Podcast

Di: Amedeus D. Raphael
Ascolta gratuitamente

3 mesi a soli 0,99 €/mese

Dopo 3 mesi, 9,99 €/mese. Si applicano termini e condizioni.

A proposito di questo titolo

Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii: Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani, Mtazamo wa Mkristo, Mapitio ya Vitabu,Amedeus D. Raphael Catechesi ed evangelismo Cristianesimo Spiritualità
  • Tumetokana na Mungu
    Apr 1 2024
    Mungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake. Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake.
    Mostra di più Mostra meno
    16 min
  • Msingi wa Imani ya Kikristo
    Apr 1 2024
    Kristo ndani yako nfio maana halisi na mjumuisho mzima wa Imani ya Kristo. ukristo sio dini, ni uhalisia uhusiano wa Mungu na mwanadamu. Ni maisha halisi ya Mungu ndani ya mwanadamu. Ni Uungu katika mwili.
    Mostra di più Mostra meno
    18 min
  • Usijitahidi Kushinda Tena
    Apr 1 2024
    Usijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi.
    Mostra di più Mostra meno
    12 min
Ancora nessuna recensione