8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17) copertina

8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

8. Ieneze Injili ya Kweli na Tendo la Haki la Yesu (Mathayo 3:1-17)

Ascolta gratuitamente

Vedi i dettagli del titolo

A proposito di questo titolo

Ni hakika kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu muhimu sana katika Biblia. Yohana Mbatizaji aliwalilia watu wa Israeli ili wafanye toba. Ni lazima tuzikumbuke kikamilifu kazi za Yesu na Yohana Mbatizaji. Yesu, aliyekuja hapa duniani aliwaokoa wanadamu, akitii mapenzi ya Mungu wakiwa pamoja na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji na Yesu walikuja hapa duniani na wakayakamilisha matendo ya haki.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Ancora nessuna recensione