1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23) copertina

1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)

1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)

Ascolta gratuitamente

Vedi i dettagli del titolo

A proposito di questo titolo

Kwanza, ningependa kufafanua dhambi ni nini. Kuna dhambi zilizofafanuliwa na Mungu(God), na kuna dhambi zilizofafanuliwa na wanadamu. Neno dhambi, kwa Kigiriki, lina maana ya ‘kukosa shabaha.’ Linamaanisha kutopata sawa. Ni dhambi tusipoyafuata amri za Mungu(God) kwa usahihi. Hebu kwanza tuangalie dhambi kama zilivyofafanuliwa na wanadamu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Ancora nessuna recensione